Thomas, Simanjiro
Walemavu

Disabled people should also be able to find employment, so that they can lead independent lives. Many disabled people have not been to school, so they have problems when it comes to trying to build a future for themselves.
Serikali inapaswa kutafuta mbinu ili walemavu na wao waweze kuajiriwa, waweze kujisaidia katika maisha yao ya kibaadaye. Wengi wao walemavu hawajasoma na hivyo wanaumia wanvyojitahidi kushuhulikia maisha yao ya baadaye.