Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

Samuel, Bagamoyo

Samuel

Watoto wa mitaani wapo wengi na wapo wana vitengo vya kuweza kusaidia watoto wa mitaani. Lakini sielewi serikali inafikiria nini. Na ipo misaada ambao inakuja kwa ajili ya wasanii kuwasaidia watoto. Tunao uwezo wa kuwaweka chuoni na kuwasaidia kuchora, kuchonga, kufinyanga. Lakini msaada hauwafikii walengwa.


There are many street children and there are institutions to help them. But i don't know how the government is thinking about this issue. There are projects supporting artists to help the children. We could organise for them to go to schools, where they can learn how to draw, carve, do pottery. But the funds don't reach the target group.

Vote Result
----------