Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

Rose, Arumeru

Rose

Wakina dada wenzangu, napenda kuwaambia kwamba jamaani tupende elimu. Mimi mwenyewe hapa napenda sana kuolewa, lakini ninapoona wenzangu wanavyoteseka kwa ajili hawana maisha mazuri, hawana elimu na mimi nakata tamaa kabisa ya kuolewa. Kwa hiyo napenda kuwaambia kwamba tuweke kipaumbele elimu.


I want to tell my sister, let us love education. Myself, I very much wish to get married, but when I see how my married sisters are suffering for lack of education, I get discouraged from marriage. So I want to tell them that we should put our education first.

Vote Result
----------