Richard, Mbeya
Suala kubwa ambalo yaani mimi nalipinga kabisa ni ubinafsichaji serikalini, kwa mfano serikali imebinafsisha mashirika mengi yenye umuhimu kwa mfano shirika la saruji, kabla halijabinafsishwa tulikuwa tunanunua mfuko mmoja shilingi elfu nne, lakini baada ya kubinafsishwa mfuko mmoja ukapanda ghafla yaani elfu tano mara elfu sita mkaka sasahivi elfu kumi namoja tunanunua katika mfuko mmoja. Wanaoumia ni wale wananchi wa kawaida wananchi wa chini .
I strongly disagree with the privatisation of the government. For instance the government has privatised various important sectors like the cement company, before privatisation we used to pay 4000/= per bag, but since then the prices have suddenly gone up to 5000/=, then 8000/= and now we pay 11,000/= per bag. The ones who suffer from this are the ordinary citizens.
