Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

Ramadhani, Bagamoyo

Ramadhani

Serikali inazungumzia sana kilimo kwenye siasa lakini sio kwenye utekelezaji. Kwa hiyo utakuta wakulima wengi sana wanafanyakazi lakini hawasaidiwi, wengi tunalima lakini kumuona bwana shamba aje shamba kukuuliza au kujua matatizo ya shamba hakuna. Ni mabwana shamba tu wako ofisini kama watu wengine tu wa maofisi.


The government likes to talk about agriculture in politics but not in the implementation. So you find that many farmers are working so hard but they are not getting any assistance, and you will never meet an agricultural officer in the field, so that he could ask you and learn about the problems with farming. They sit in offices like other officers.

Vote Result
----------