Mwaabu, Iringa
Nafanyakazi ya kupika pika, kero yangu mimi kubwa kwa wateja, wanaweza wakaagiza chakula, ukisha wahudumia kabisa wamekula wamemaliza ndio wanaanza kutowa kasoro wanata kutoa pesa nusu. Hiyo inanikera sana, sitaki, naomba wajirekebishe.
I work with food preparation, I am upset with those clients who order meals, finish eating and then begin complaining about the quality of the food and wanting to pay only half the price. It really annoys me so much, I want them to change that.
