Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

Magari, Iringa

Magari

Kuhusu masuala ya Tv kwamba, wananchi wa mkoa wa Iringa huwa tuna pata shida sana, huwa yaani Tv hazishiki vizuri hasa kwa mfano kwamba sisi ambao tunaotumia vipepeo ambao watu wa hali ya chini ambao hatuna uwezo wa kueka ungo. Tunalazimika mtu uangalie mkanda tu kila siku baada ya kuangalia kwamba na masuala mengine muhimu.


About TV: we residents of Iringa region experience serious problems due to the poor TV reception in the region, especially for those of us who use the low quality antennas and cannot afford to install a satellite dish. As a result we end up watching videos only instead of watching other important programmes.

Vote Result
----------