Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

Khamis, Pemba

Khamis

Nina ndoto kwamba siku moja bunge letu litakuwa la wasanii tu. Kwa sababu wasanii ndiyo hasa ambao wanaigusa yale ambayo yanaikera jamii. Badala ya wasomi ambao wanaonekana wazi kuwa ama ni magoigoi ama wamekuwa ni watumwa wa wanasiasa badala ya kuwa watumwa wa maendeleo.


I have a dream that one day our members of parliament will all be artists. Because the artists are those who touch the issues that concern the people. Unlike these highly educated people who seem to be either lazy and weak, or who have become the servants of politicians rather than of development.

Vote Result
++++++++--