Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

Juma, Zanzibar

Juma

Uendelezaji wa kilimo hushauriwa sana kutumia madawa ya kiwandani pamoja na mbolea, kwa maoni yangu mfumo huu unaleta athari mbalimbali. Sasa mfumo wa kilimo hai ni mfumo ambao niwakiasili, ni mfumo unazingatia matumizi endelevu ya rasili mali bila ya kutumia madawa kutoka nchi za nje au kutoka nje ya sehemu ile ambayo tunazalisha.


To increase agricultural production there are recommendations to use industrial chemicals and fertilisers. In my opinion, this system has various negative consequences. Organic farming on the other hand takes into consideration sustainable use of resources without use of chemicals from foreign countries or from other regions outside the production area.

Vote Result
----------