Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

Honorath, Dar es Salaam

Honorath
Maisha ni kama mti, unaoota nje, ambao katika hali yeyote hautegemei kukaa chini. Kwa hivyo, kama unafanya kazi – fanya kazi kwa moyo wako wote. Na la msingi kabisa: amini katika ndoto zako. Amini kwamba kuna siku zitafanikiwa na uendelee kuamini na usikate tamaa hata siku moja.

Life is like a tree, it grows out there, and whatever happens it doesn't expect not to grow. And so, if you have a job – carry it out with all your effort. And most importantly: believe in your own dreams. Have faith that one day they will come through, so keep on believing and never despair.
Vote Result
----------