Ukimwi
Subi, Lushoto
UkimwiSwali, kuhusu maambukizi ya virusi vya ukimwi. Ni kwanini Tanzania virusi vya ukimwi vinazidi, nchi za wenzetu zinapunguwa? Ningeona serikali ya Tanzania ichunguze nchi za wenzetu wanavyofanya, wafuate mfumo huo na Tanzania.
A question regarding the spreading of HIV/AIDS: why is the infection rate still going up in our country while it is decreasing in the neighbouring countries? Our government should investigate what others are doing and replicate it here.
UKIMWI
Submitted by Mwananchi on Sun, 2006-10-22 11:59. UkimwiJina
KADE
Maoni
<p>Maoni yangu mimi kama kijana nafikiri pia naona serikali hajaamua hasa kupambana na huu ugonjwa kikamilifu kwani imekuwa ikiongea ilikujitoa lawama kwamba inaliona janga hili na mimi naona serikali imeamua kuacha vijana tuangamie kwasababu haifuatilii ipasavyo.</p><p>Kwanini na kwasababu gani ukimwi ushike kasi kiasi hicho na kama ni mmomonyoko wa maadili kwanini yamomonyoke kiasi hicho.hili swala serikali isilichukulie kijina kwamba hiyo ni serikali basi itafanikiwa kwa sababu serikali ina mkono mrefu utumike kuwa nyoosha wanao pororomosha maadi yetu kwakuiga kila kitu hata vilivyo kinyume na madili ya kitanzania.</p>
Simu
0713232305
UKIMWI
Submitted by Mwananchi on Fri, 2006-09-22 09:15. UkimwiJina
JOSEPH PASTORY
Maoni
Mimi ninaamini kuwa elimu kuhusu ukimwi imeenezwa kwa asilimia mia moja, kila Mtanzania anaelewa elimu ya msingi ya Ukimwi, yaani Ukimwi unaambukizwa vipi, hauna tiba na jinsi ya kuepuka kuambukizwa. Ukiongea na waayhirika wa Ukimwi walio wazi utagundua kua waliamini kuwa Ukimwi hautawapata wao, hili ndio kosa kubwa kwa wengi wetu kudhani kuwa " sio mimi" anayeweza kuambukizwa ukimwi.
Simu
0784 432420
uwazi kuhusu ukimwi
Submitted by Mwananchi on Sun, 2006-09-17 12:50. UkimwiJina
gift cg mchawa
Maoni
wazazi wawe wazi kwawa watoto kwani wasipo waweka wazi kuhusu ukimwi wataangamia
