Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

Ardhi

ARDHI- MKUKUTA MKURUBITA HAZIFAFAMIKI WALA HAZIFANYIWI KAZI

Jina

OLIVER PENON LEMA,

Maoni

Mpango wa MKUKUTA , MKURATIBA hili jambo wananchi hawafahamu hata kidogo ni vizuri, elimu yake iongezwe kwenye luninga magazeti,redio vipeperushi,

Simu

0755106384

Barua pepe

oliver_lema@yahoo.com
Vote Result
----------

KUHUSU ARDHI

Jina

NIWAELY OMBENI

Maoni

NAPENDA KUWAAMBIA WAHUSIKA WA KUJENGA UWANJA WA NDEGE MAANA SASA SIKU ZIMEKUWA NYINGI WATU HAWAJENGI MAANA WAPO KWENYE ENEO LA UWANJA WA NDEGE NYUMBA SASA ZINAKARIBIA KUBOMOKA HUWEZI KUJENGA KWA SABABU UPO ENEO LA UWANJA WA NDEGE UKIJENGA HUPEWI FIDIA KWA HIYO NAOMBA WAHUSIKA WALIANGALIE HILO ILI TUWEZE KUJENGA AU KAMA NI KWELI KUNAKUHAMA BASI WASIJENGE NITASHUKURU ENDAPO MTALIFANYIA KAZI HILO AKSANTE SANA

Simu

0752-367327

Barua pepe

niwaelyombeni@yahoo.com
Vote Result
----------

Lekei, Same

| |
Lekei

Mimi napenda kwamba wafugaji watengewe maeneo maalum ya kufuga ili waweze kuondokana na hali ya migogoro ya wakulima. Na jamii hiyo hiyo ya wafugaji apewe nafasi ya kielimu.


I would like the pastoralists to be given their own areas dedicated to grazing cattle, so that we can end this state of conflict with farmers. And these pastoralist people should be given opportunities to education.

Vote Result
----------

Syndicate content