Muziki
MUZIKI
Submitted by Mwananchi on Mon, 2006-09-04 10:25. MuzikiJina
MR.MASUDI MSEMO
Maoni
suala zima la muziki hapa Tanzania kwani wapo watu wanao nyonya wengine kwa maslai yao kwa mfano wa DOSI wanawanyonya wa Tanzania kwani wanawaambia watoe albam kisha wazitangaze wao wenyewe kisha wanawapa ujira wa albam hiyo kidogo naomba serikali iingilie kati suala la HAKI MILIKI kwani ni vyema mtu akavuna alichopanda sio mtu apande mwingine avune mwingine.serikali wasaidieni wanamuziki ndio ajira pekee inaweza kukuza kipaji cha mtu. ahsanteni!
Simu
+255 713 669 533
Emanuel, Bagamoyo
Ajira | MuzikiWengi wananchi wana talent kubwa sana ya kuweza kufanya vitu ambavyo watu wengine hawataweza kufanya. Lakini kutokana na umaskini wa nchi yetu vijana wengi wanakuwa wanashindwa kupata ajira au wengine wanashindwa kuendeleza talent zao. Naona, kama Bagamoyo tukijengewa studio hapa itaweza kunisaidia mimi na watu wengine ambao watakuwa na talent za muziki.
Many citizens are very talented and can do things that others can't. But because this is a poor country many young people don't manage to get a job and can't develop their talents. I believe, if we could get a studio to be built in Bagamoyo, it would help me and other people who have a talent for music.
