Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

Historia

Samahani, Bagamoyo

samahani
Kabla ya uhuru wa nchi yetu nilifanya uchimbuzi na Mr. Nimrud Cheaty, Mwingereza. Kwa hivyo tulichimbua magofu ya Kaole, Tongoni Tanga, Kiwa Kisiwani. Wakati niko Kilwa Kisiwani 59 na Dr. Leakey alienda Olduvai Gorge. Historia ina umuhimu wake: kwanza inaonyesha tulikotoka wapi tulipo wapi na tunapoendelea wapi. Kwa hivyo, historia hii isije ikafa kwa sababu sasa hivi vijana wengi hawaijui habari ya historia iko vipi.

Before independence of our country I worked on excavations with Mr. Nimrud Cheaty, an Englishman. We then excavated the Kaole Ruins, Tongoni Tanga, Kilwa Kisiwani. While I was in Kilwa Kisiwani in 1959, Dr. Leakey went to Olduvai Gorge. History is important: it shows us first where we come from, where we are and where we are going to. Therefore this history should not be forgotten, as many young people of today don't know it anymore.

Vote Result
----------

Syndicate content