Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

Pesa

Wapiga debe wa kituo cha mabasi Ubungo

Jina

Martin Jonas Kimbavala

Maoni

Wapiga debe kituo cha mabasi Ubungo ni kero kubwa sana kwa watumiaji wa kituo kile kikuu ikizingatiwa kile ni kituo kikubwa kinacho safirisha watu kuingia na kutoka nchi nzima na nchi jirani. Tabia inayokera zaidi ni kwamba wengi wao ni wezi wakubwa wanawaibia abiria fedha na mizigo yao. Napendekeza mkuu wa mkoa bwana Abasi Kandoro kama ameweza kuwaondoa wamachinga ahamie kwa hawa jamaa ikiwezekana wawekwe wanajeshi wa jeshi la kujenga taifa katika kituo kile kona zote za kituo kuhakikisha wanawatokomeza kabisa. Nimeshauri wanajeshi kwa sababu askari wa kawaida wanatabia ya kuchukua rushwa kutoka kwa wapiga debe hao jambo ambalo halitaweza kufanikisha suala zima la kuwaondoa.Wito pia kwa abiria wanaotumia kituo hicho wasiwape nafasi wapiga debe kuwachukulia mizigo na kuwapeleka kwenye mabasi wanayofanyia kazi washirikiane kikamilifu na askari watakao kuwa wamewekwa kituoni hapo.

Simu

Barua pepe

martjons@gmail.com
Vote Result
----------

Elimu

|

Jina

ASUBISYE MWAIPOPO

Maoni

MIMI NAONA SERIKALI INACHEMKA KUHUSU SUALA LA MOKOPO KWA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU.HAIWEZEKANI WANAFUNZI WAPATIWE 60% TU YA MIKOPO HIYO ILHALI WATAZANIA WENGI NI MASIKINI.KAMA MZAZI ALISHINDWA KULIPA SHILINGI 35,000/= KWA MHULA ATAWEZAJE KULIPA ZAIDI YA SHILINGI 300,000/=

Simu

0744475844

Barua pepe

Vote Result
----------

Mishahara ya Walimu

|

Jina

Ally Ahmed Mlekwa ( Brantyer Malawi)

Maoni

Ningependa hii mishahara ya walimu wa shule za msingi TANZANIA ikaboleshwa ukilinganisha na mishahara ya wenzetu Malawi Licha malawi ni nchi masikini kuliko sisi kielimu bado hatutowapata kutokana na mishara duni na mifumo ya kielimu tuliyo nayo pia mabenk yaongezwe sio kila siku NMB Walimu wa Tanzania wanapata shidasana kua na kibenk kimoja wanarundikana ktk benk mojo zaidi ya walimu elf moja Ahsante.

Simu

+2568389333

Barua pepe

Vote Result
----------

Mama Nancy, Lushoto

Mama Nancy

Nimeota ndoto huenda nikishika labda milioni kumi. Hela hizo nitakapozipata huenda nikafanikiwa kuchukua ndege. Naimani nitachukua ndege. Ikishindikana ndege au hata haisi, basi kama ndio mtaji wangu.


I have a dream that I should get something like ten million shillings. And if I get this money I would buy an airplane. Yes, I believe I would buy a plane... or if that fails, maybe I will buy a mini bus (HiAce) as my assets aren't sufficient.

Vote Result
----------

Syndicate content