Tunawezo wakuendelea mbele bila uchawi
Submitted by Mwananchi on Mon, 2006-10-30 13:40.
Michezo
Jina
Ayasi Ramadhani
Maoni
Kwa Tanzania tukiongeza bidi na kijituma hasa wechazaji wetu tunaweza kufika mbali,ila tuachane na imani za "kichawi" maana soka na uchawi hali endi maana nilisikitika kusoma gazeti na kukuta eti mpira kati ya simba na yanga ulitawaliwa na "uchawi" sio picha nzuri kwa Taifa inaonesha kwamba sisi mpira hatujui wakati tunajua vizuri
