Afya
Submitted by Mwananchi on Thu, 2006-10-26 15:43.
Afya
Jina
Sebastian Theophil
Maoni
Selikari yetu ya Tanzania ingetambua nafasi ya wataalam wa lishe wanaohitimu chuo kikuu cha kilimo cha sokoine na kuanzisha ajira yao katika kila hospitali ili watumie utaalam wao kwa kutoa huduma kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na maradhi yatokanayo na lishe. Kwa hali ya sasa naona selikari haijatambua kabisa uwepo wa wataalam hawa na kuwatumia.
Simu
+255713593475
