KERO YA MGAO WA UMEME TANZANIA
Submitted by Mwananchi on Fri, 2006-10-20 22:24.
Maisha | Uchumi
Jina
ROLAND MAANGA
Maoni
Uchumi wa Tanzania unaporomoka kwa kasi kubwa kutokana na ukosefu wa nguvu ya umeme wa uhakika. Madini ya Uranium yanayotengeneza nishati ya nyuklia yanapatikana Tanzania. Natoa wito kwa Wizara ya Nishati na Madini kuwasiliana na nchi kama Iran na Korea waombe kupewa teknolojia ya uzalishaji nguvu za umeme kwa njia ya nyuklia na tutaondokana kabisa na tatizo sugu la umeme linalokabili nchi yetu.
Simu
+255784459850
