Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

haki

Jina

franco malinga

Maoni

Maoni yangu ni juu ya mabaraza ya kata sipendi kuona mshitakiwa akiwekwa Lokap eti kwasababu ya mashahidi wa mshitaki hawafiki kutoa ushahidi siku zilizo pangwa kusikilizwa kesi.Na kwanjia hiyo eti mashahidi wa mshitaki watafika kutoa mashitaka. Kwanikuna uhusiano gani kati ya mashahidi wa mshitaki na mshitakiwa.

Simu

Barua pepe

francomalinga@yahoo.com
Vote Result
----------