Mawaziri kujiuzia nyumba
Submitted by Mwananchi on Fri, 2006-09-15 17:05.
Siasa
Jina
John
Maoni
Kitendo cha mawaziri kujiuzia nyumba za serikli sio cha kiungwana kwani mawaziri sio wafanyakazi wa serikali, ikiwa chama kikimfukuza uanachama na uawaziri hata kuwa nao, je nyumba atairudisha?
